Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

JIJI LA ARUSHA LAKUMBWA NA BOMOA BOMOA KUPISHA UWEKEZAJI MKUBWA

Tinga likiwa kazini kubomoa nyumba zaidi ya 250 za Jijini Arusha kwa ajili ya kuendeleza mji wa kisasa.

Moja ya nyumba zilizobomolewa leo jirani na soko la Kilombero ambazo ni mali ya halmashauri ya jiji la Arusha kupisha uwekezaji mkubwa

Ubomoaji ukiendelea. Picha hizi na Filbert Rweyemamu

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO