Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MATOKEO KIDATO CHA SITA 2017 HAYA HAPA; KISIMIRI YA KATA ARUSHA YAENDELEA KUFANYA VIZURI


Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokoe ya mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita ambapo shu kumi bora zilizoongoza kitaifa ni zifuatazo..
1. Feza Girls 2. Marian boys 3. Kisimiri 4. Ahmes 5. Marian Girsl 6. Mzumbe 7. St Mary Mazinde 8. Tabora Boys 9. Feza Boys 10. Kibaha
  Bonyeza HAPA kufatilia matokea ya shule zote Tanzania.
Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO