Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MCHEKESHAJI WA KENYA, ERIC OMONDI AWASILI JIJINI DAR KWA LIVE SHOW KESHO


MWIGIZAJI na mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Eric Omondi amewasili mchana huu jijini Dar leo akiwa na kikosi kazi chake wakiwa tayari kwa 'LIVE SHOW' kesho katika ukumbi wa mikutano wa Marqee uliopo hoteli ya Hyatt jijini Dar es Salaam.Mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Eric Omondi akiwa na kikosi kazi chake wakiwasili katika jengo la Alosco Tower lililopo Lumumba jijini Dar es Salaam leo.
Mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Eric Omondi akiwa katika pozi na bango la GSM Media leo alipo wasili jijini Dar es Salaam kwaajili ya 'LIVE SHOW' itakayofanyika kesho katika hoteli ya Hyatt katika ukumbi wa Marqee jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Eric Omondi akiwa na Meneja Mkuu wa GSM Media, Deo Ndejembi (katikati) na Dj wa mchekeshaji huo, wakiwa katika ofisi cha GSM Media leo mara baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam.
Meneja Mkuu wa GSM Media, Deo Ndejembi na Mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Eric Omondi wakiwa katika picha na kikosi kazi cha mchekeshaji huyo ambapo 'LIVE SHOW' itakayofanyika kesho jijini Dar es Salaam.

Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.


Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO