Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Boda boda Arusha waomba alama kuwatofautisha na waendeshaji wa kawaida


Waendesha bodaboda Jijini Arusha wakiwa mbele ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Waendeshaji hao wameiomba Serikali kuwasaidia kutatua utata uliopo baina yao na waendeshaji wa kawaida na hivyo kutaka wawekewe alama maalumu zitakazowatambulisha.

Picha na Gadiola Emmanuel

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO