Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

UKO NA MPENZI.....? NAFASI NDIO HII


Hookup 255 ni reality TV Show inayo kukutanisha wewe na mtu ambaye haujawahi kukutananae ila mnaendana kitabia, upendo, malengo na end of the day mnaweza kuwa wapenzi forever.

ANGALI VIDEO HAPA EPISODE I
Nafasi ni yako msichana wa Kitanzania mwenye umri wa 18- 34 unaweza kutuma picha na namba yako inbox kwenye acount zetu Instagram na Facebook page ili uingizwe kwenye list ya washiriki wa kipindi chetu kizuri. Kutakuwa na mchujo coz tunahitaji watu walio Serious kuhusu kupata mpenzi mwenye vigezo vinavyo stahili. Endapo utapita kwenye mchujo wetu utapatiwa form ya kujaza, utakapo irudisha form utalipia Tsh: 2000/= tu. Huenda zari ikakudondokea wewe mdada kukutana na Hookup 254 ya Kenya na mambo yakawa Bam bam.    
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO