Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mbowe na Nyalandu waonekana pamoja Jimboni Hai katika maziko ya Mchungaji Looka Mushi

Taswira mbalimbali zikoonesha Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mh Freeman A. Mbowe, Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema, Aliyewahi kuwa Waziri wa Mali Asili na Utalii ambaye hivi majuzi alijiuzulu Ubunge, Mhe Lazaro Nyalandu na Mkurugenzi wa Mawasiliano,Itikadi,Uenezi na Mambo ya Nje wa CHADEMA Mh John Mrema wakiwa katika misa na maziko ya  aliyekuwa Mkuu wa Jimbo kikanisa (Mchungaji Looka Mushi) aliyezikwa jana Ijumaa 17/11/2917 katika makaburi ya Kanisa la KKKT Usharika wa Nkwarungo.











Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO