Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Kutoka Arumeru:Lowassa azidi kukoleza moto wa kudai Katiba Mpya


Waziri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA ameendelea kusisitiza umuhimu wa nchi kuwa na Katiba Mpya itakayotatua kero mbalimbali katika nchi kulingana na hali ya dunia kwa sasa na miaka mingi ijayo. Lowassa amesisitiza hayo hii leo wakati akihutubia wananchi wa Kata ya Ambureni Arumeru Mashariki katika mkutano wa kumnadi mgombea waCHADEMA katika Kata hiyo huku akisindikizwa na Mbunge wa Bunda Mh ster Bulaya na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh Joshua Nassari. 





Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO