Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Hatimaye Kata ya Moivaro inayoongozwa na Diwani Moiro wa CHADEMA kuwa na shule yake.



Kazi ya usawazishaji wa kiwanja cha itakayokuwa Shule ya Sekonda Moivaro imeanza rasmi leo ikitarajiwa kuwa wanafunzi wa Kata ya Moivaro wataanza kusomakatika kata yao na kuondokana na kero ya kusafiri umbali mrefu 
Pichani ni  Diwani wa Kata ya Moivaro Mh Ricky Moiro. 



Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO