Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mwenyekiti wa Mtaa Sombetini Arusha (CHADEMA) Amzawadia Mkazi Wake Nauli ya Kurudi Kijijini Baada ya Maisha ya Mjini Kuwa Magumu

Piniel Mollel
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Simanjiro uliopo Kata ya Sombetini Jijini Arusha Mh Piniel Mollel (CHADEMA) akimkabidhi mkazi wa mtaa wake asiyejiweza kiasi cha shilingi elfu hamsini (50,000) kama gharama za nauli alizoomba mzee huyo ili aweze kuzitumia kwa safari ya kurudi kijijini kwake Mkoani Tanga kupumzika kwa kile alichoeleza kuwa maisha ya mjini yamekuwa magumu kuyamudu.

Piniel


Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO