Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

PICHA: SHAMBULIO LA KIGAIDI NCHINI KENYA KATIKA ‘WEST GATE MALL’ LINALODHANIWA KUFANYWA NA AL-SHAABAB

Mtoto akikimbia kuokoa maisha yakeMtoto akikimbia kuokoa maisha yake

37Kama taarifa imekupita ni kwamba Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amekiri kuwa idadi ya waliofariki inafikia 39 na zaidi ya 150 kujeruhiwa..


36

35

34

33

38

32

31

30

 

Picha hizi ni kwa mujibu wa BBC. Tazama nyinine hapa chini, tunaomba radhi kwa zile zitakazokukwaza

September 21, ni tarehe ambayo Kenya haitoisahau kamwe. Ni baada ya kundi la wanamgambo wa Al-Shabab lilipoishambulia mall ya Westgate maarufu kwa kuwa na wateja matajiri jijini Nairobi na kuwashikilia watu mateka, kuwaua na kuwajeruhi wengine.

Mwanamke aliyekuwa amejeruhiwa akiomba msaadaMwanamke aliyekuwa amejeruhiwa akiomba msaada

Familia ikiwa imeshikana mikono wakati ikitoka nje ya eneo la hatariFamilia ikiwa imeshikana mikono wakati ikitoka nje ya eneo la hatari

article-2427892-182485E800000578-152_964x631

 

130921145130-25-kenya-mall-restricted-horizontal-gallery

 

130921103725-07-kenya-mall-horizontal-galleryMashuhuda wanasema watu hao waliokuwa na silaha, wakiwa na nguo nyeusi na vichwa vyao vikifunikwa na vilemba waliingia kwenye mall hiyo ya Westgate jana mchana. Mpaka sasa, idadi ya watu walioshikiliwa mateka ndani ya mall hiyo haijajulikana.

Mama na wanae akiwa amejificha kuhofia kuuawa na watu hao makatiliMama na wanae akiwa amejificha kuhofia kuuawa na watu hao makatili

Mfanyakazi wa Red Cross akimbeba mtoto aliyekuwa ndani ya mall hiyoMfanyakazi wa Red Cross akimbeba mtoto aliyekuwa ndani ya mall hiyo


Mtoto akiwa nje baada ya kutolewa ndani ya mall, pembeni ni mwili wa mtu aliyeuawa
Mtoto akiwa nje baada ya kutolewa ndani ya mall, pembeni ni mwili wa mtu aliyeuawa
Zaidi ya watu 40 wameripotiwa kuuawa na zaidi ya 162 wakijeruhiwa.

Mtu na mpenzi wake waliouwa kwa pamoja na wanamgambo hao Mtu na mpenzi wake waliouwa kwa pamoja na wanamgambo hao

Mwanamke akilia kwa woga baada ya kuokolewa na askariMwanamke akilia kwa woga baada ya kuokolewa na askari

Mwanamke aliyejeruhiwa akitolewa nje kwa kubebwa kwenye toroli la kufanyia shoppingMwanamke aliyejeruhiwa akitolewa nje kwa kubebwa kwenye toroli la kufanyia shopping

Mwanamke aliyekuwa ameshikiliwa mateka akiwa haamini baada ya kuachiwaMwanamke aliyekuwa ameshikiliwa mateka akiwa haamini baada ya kuachiwaMaafisa wamesema watu hao wamebananishwa na kwamba watu wameshikiliwa mateka kwenye maeneo mbalimbali. Al-Shabab imeliambia shirika la habari la Uingereza BBC kuwa limefanya shambulio hilo kujibu opereshini za kijeshi za Kenya zinazoendelea nchini Somalia. <img src="http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/09/Mwanaume-aliyejeruhiwa-akilia-kwa-uchungu-kutokana-na-maumivu-makali-baada-ya-kupigwa-risasi-ya-mguu.jpg" alt="Mwanaume aliyejeruhiwa akilia kwa uchungu kutokana na maumivu makali baada ya kupigwa risasi ya mguu" width="600" height="400" class="aligncenter size-full wp-image-57459" Mwanaume aliyejeruhiwa akilia kwa uchungu kutokana na maumivu makali baada ya kupigwa risasi ya mguu

Ofisa wa usalama na wenzake wakielekezana na wenzake mahali walipo watu hao wenye silaha Ofisa wa usalama na wenzake wakielekezana na wenzake mahali walipo watu hao wenye silaha

Polisi akisaidia kumtoa mtoto aliyekuwa ndani ya mallPolisi akisaidia kumtoa mtoto aliyekuwa ndani ya mall

Polisi na wanajeshi wakipambana na magaidi hao Polisi na wanajeshi wakipambana na magaidi hao Mashuhuda wengine wamedai kuwa wanamgambo hao waliwaambia waislamu waondoke na wabaki waumini wa dini zingine. “Walisema na kusema: ‘Kama wewe ni muislamu, simama. Tumekuja kuwaokoa,” Elijah Lamau aliiambia BBC. Alisema waislamu waliondoka wakiwa wamenyoosha mikono juu na kisha watu hao wakawapiga risasi watu wawili.

Polisi wa Kenya akiwa ameshika tumbo lake baada ya kujeruhiwa huku mwenzake akiendelea kurushiana risasi na magaidi wa Al-Shabab Polisi wa Kenya akiwa ameshika tumbo lake baada ya kujeruhiwa huku mwenzake akiendelea kurushiana risasi na magaidi wa Al-Shabab

Polisi wakiingia ndani ya mall hiyo kupambana na wana mgambo wa Al-Shabab Polisi wakiingia ndani ya mall hiyo kupambana na wana mgambo wa Al-Shabab

Polisi wakipambana na Al-shabab Polisi wakipambana na Al-Shabab

Rais wa Canada Annemarie Desloges, 29, aliuawa kwa risasi na magaidi hao Raia wa Canada Annemarie Desloges, 29, aliuawa kwa risasi na magaidi hao

Wanajeshi walimwaga kwenda kusaidia kupambana na watekaji wa kundi la kigaida la Al-shababWanajeshi walimwaga kwenda kusaidia kupambana na watekaji wa kundi la kigaida la Al-Shabab

Wananchi wa mataifa mbalimbali waliokuwa wakifanya shopping kwenye mall hiyo wakiwambia kuinua mikono yao kuonesha hawana silahaWananchi wa mataifa mbalimbali waliokuwa wakifanya shopping kwenye mall hiyo wakiwambia kuinua mikono yao kuonesha hawana silaha Gaidi mmoja alikamatwa jana na kufa kutokana na majeraha. Maafisa wa Kenya wameimbia BBC kuwa wengine wanne

 wamekamatwa

PICHA ZOTE NA MITANDAO YA KIMATAIFA.. MAELEZO KWA HISANI YA SANGAFESTO BLOG

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO