Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

mkutano wa siku mbili kujadili changamoto mbali mbali zinazoikabili sekta ya elimu ya juu kwa kushirikiana na waajiri hapa nchini kuitatua changamo hizo wafanyika Jijini Arusha

Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Shukuru Kawambwa akisikiliza Hotuba iliyokuwa inatolewa na mwenyekiti wa mkutano huo ambaye pia ni makamu wa mkuu wa chuo cha Mzumbe prof.Josephat Itika wakati wa ufunguzi wa mkutano wa siku mbili kujadili changamoto mbali mbali zinazoikabili sekta ya elimu ya juu kwa kushirikiana na waajiri hapa nchini kuitatua changamoto hizo kongamano linalofanyika kwenye Hotel ya Naura springs jijini Arusha kwa siku mbili.

Waziri wa elimu na mafunzo ua ufundi akitoa hotuba ya ufunguzi wa kongamano linalowashirikisha waajiri na wadau wa elimu ya juu kujadili maboresho ya mitaala na mahitaji ya waajiri kwenye sekta ya ajira hapa nchini kwa vijana wanaomaliza elimu ya juu hapa nchini (picha zote na mahmoud ahmad wa libeneke la kaskazini , Arusha)

Waziri wa elimu na mafunzo ya Ufundi stadi Dkt Shukuru Kawambwa akiwasili kwenye ufunguzi wa Kongamano la Mamakamu wa vyuo vikuu la kujadili Maendeleo ya Elimu ya juu lililofanyika kwenye hotel ya Naura Springs jijini Arusha leo asubuhi.

PICTURE SOURCE: LIBENEKE LA KASKAZINI

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO