Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Mkutano wa SADCOPAC unaoaendelea Jijini Arusha

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Zitto Kabwe akiwasilisha Taarifa ya Tanzania ya utekelezaji wa Maazimio ya Mkutano wa 8 na 9 ikiwa ni matakwa ya Wajumbe wa Mkutano huo ambapo kila Nchi wanachama huwasilisha taarifa hiyo.

 

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Zitto Kabwe akimweleza jambo Mwenyekiti wa Umoja wa Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali kutoka nchi zilizo kusini mwa jangwa la sahara (SADCOPAC) ambaye pia ni mwenyekiti wa PAC kutoka Bunge la Afrika Kusini Mhe. Sipho Makama wakati wa mapumziko ya Mkutano wa 10 wa SADCOPAC unaendelea Arusha.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Zitto Kabwe akiwasilisha Taarifa ya Tanzania ya utekelezaji wa Maazimio ya Mkutano wa 8 na 9 ikiwa ni matakwa ya Wajumbe wa Mkutano huo ambapo kila Nchi wanachama huwasilisha taarifa hiyo.

  Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Zitto Kabwe akiuliza swali wakati wa majadiliano ya mkutano wa Umoja wa Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali kutoka nchi zilizo kusini mwa jangwa la sahara (SADCOPAC) unaoendelea Arusha.

Mjumbe wa Mkutano wa Mwaka wa SADCOPAC kutoka Tanzania Mhe. Asumpta Mshama akiuliza swali wakati wa majadiliano ya mkutano wa Umoja wa Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali kutoka nchi zilizo kusini mwa jangwa la sahara (SADCOPAC) unaoendelea Arusha. Tanzania imewasilisha utekelezaji wa maazimio ya mikutano ya 8 na 9 katika mkutano huo.

Picha na ofisi ya Bunge

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO