Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: MKUTANO WA MUUNGANO WA VYAMA VYA UPINZANIA JANGWANI JANA KUDAI MCHAKATO HURU WA KATIBA MPYA

Wenyeviti wa vyama vya upinzani wakiwa wameshikina mikono kuonesha mshikamano wao wakati wa mkutano wa kuwahamasisha wananchi kuungana na kudai mchakato huru wa katiba mpya unaoshirikisha wananchi wote . Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa ADC, Lucas Limbu Mwenyekiti wa NLD, Emmanuel Makaidi, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba na Mwenyekiti wa (UPDP), Fahmi Dovutwa.

 

Umati wa watu waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa kuwahamasisha wananchi kuungana na kudai mchakato huru wa katiba mpya unaoshirikisha wananchi wote uliofanyika leo kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)

Umati uliojitokeza leo.

Tunafuatilia kwa makini mkutano.....

Tundu Lissu.

Mabele Marando.

Mbunge wa Ubungo (Chadema),  John Mnyika.

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,  James Mbatia.

Askofu Kakobe.

Mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Azaveli Lwaitama.

PICHA ZOTE NA FRANCIS DANDE
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO