Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA;Samwel Shamy awezesha harambee iliyokusanya madaftari 1800, vitabu 200 na computer 10 kwa ajili ya watoto wasiojiweza

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Ndg. Samwel Shamy amefanikiwa kufanyisha harambee ya kukusanya vifaa vya elimu kwa wanafunzi wasio jiweza. Ngd Shamy alifanikiwa kukusanya Computer kumi (10), vitabu mia mbili (200), na madaftari alfu moja mia nane (1800). Pichani Ndg. Shamy akiongea na waandihi wa habari na kukabidhi vifaa hivyo kwa mkuu wa Wilaya Meru Ndg. Munase

Ndg. Samwel Shami akiongea na waandishi wa habari

Ndg. Samweli Shami akimkabidhi mkuu wa wilaya ya Arumeru vifaa vya shule

Ndg. Samwel Shamy akiongea na waandishi wa habari

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO