Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Ziara ya “M4C - Operesheni Pamoja Daima” ilivyofana maeneo tofauti ya nchi - I

Uyui TaboraM4C- Operesheni Pamoja Daima, mkutano wa Tabora mjini, Uyuwi, Timu ya Makamu Mkiti Zanzibar Said Issa Mohamed na John Mnyika. Pichani ni makamu Mwenyekiti wa Chadema Zanzibar akizungumza na wananchi wa Tabora juzi Jumatano Januari 22, 2014.

photo 2

Mbunge wa Ubungo, Mh John Mnyika akihutubia wana Uyui

photo 1Wananchi waliojitokeza viwanja vya Uyui kuwasikiliza John Mnyika na Said Issa Mohamed.


kiborlonZiara ya M4C Pamoja Daima kwa kanda ya Kazini ilizunguka Same, Tarakea, Mwika, Moshi mjini na Hai. Pichani ni Mkutano wa kumnadi mgombea wa Chadema eneo la Kiborloni. Mkutano huo ulifanyika jana Alhamisi Januari 23, 2014 na kuhudhuriwa na mamia ya watu huku Mh Ndesamburo, Wakili Lissu na Mwenyekiti Vijana John Heche walihutubia na kukonga nyoyo za wananchi.


M4C Muheza

Picha hii inaonesha baadhi ya wananchi waliojitokeza katika Mkutano wa Chadema eneo la muheza Tanga siku ya Jumatano, Januari 22, 2014 ambapo Mh Heche na Wakili Lissu walihutubia katika ziara ya M4C Pamoja Daima


Slaa Songea 1.

M4C- Operesheni Pamoja Daima ilivyotikisa leo mkoani Ruvuma- Timu ya Katibu Mkuu, Dkt. Slaa akiwa na Mbunge Peter Msigwa. Pichani Dr Slaa akihutubia siku ya Jumatano Janauri 22, 2014.

Msigwa Songea 1

Msigwa Songea 2.Mbunge wa Iringa Mjini, mhe Peter Msigwa akiwaimbisha ‘peoples power’ wananchi wa Mbinga, Songea sambamba na Dr Slaa.

Slaa kuwasili SongeaKatibu Mkuu wa Chadema akiwasili mjini Songea juzi.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO