Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

PPF na Ujenzi wa Jengo Kubwa Jijini Arusha

DSCN0316Mfuko wa PPF unaendelea na uwekezaji katika miradi ya ujenzi na kwa sasa kuna jengo kubwa linaendelea na ujenzi wake katika Barabara ya Old Moshi Jijini Arusha. Jengo hilo ni kwa ajili ya huduma za kibiashara na ofisi mbalimbali na linatazamiwa kuonekana kama picha inavyoonesha pindi likikamilima mwishoni mwa mwaka 2015.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO