Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Kivazi cha Diamond chazuo gumzo nchini

10154550_10201492710074241_6173061097488879185_nMsanii pekee aliyeweza kuweka rekodi ya kujinyakulia tuzo 7 katika usiku wa  “Kilimanjaro Music Awards”, namzungumzia Naseeb Abdula ama Diamond Platnumz amekuwa gumzo miongoni mwa watu wengi waliofuatilia utoaji tuzo hizo live ama kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Jamabo pekee lililozua hayo ni kivazi alichovaa msanii huyo kama picha inavyoonesha, kama muonekano mpya kwake kisanii.

Baadhi ya wadau wameponda wakidai ni kwenda kinyume na sili ya Tanzania, huku baadhi wakihusisha tukio hilo na mwanzo wa kuingia matendo yasiyo meama katika jamii ya kitanzania. Wapo waliomuunga mkoo wakidai ni fasheni tu kama fasheni zingine sema u ni ngeni hapa nchini wakitolea mfano wa mavazi ya harusi nchini Scotland.

Wewe mdau wangu unasemaje!??

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO