Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Birthday ya ShyRose Bhanji: Taswira ya Shy-Rose, Halima Mdee na Ester Bulaya waki-show love

IMG-20140505-WA0019HAPPY BIRTHDAY SHY-ROSE BHANJI!!
Kutoka kushoto Mbunge wa Kawe, Mh Halima James Mdee, Mbunge wa Afrika Mashariki akiwakilisha Tanzania, Mh Shy-Rose Bhanji na Mbunge Ester Bulaya. Mdee na Shyrone wanaonekana wakionesha ishara ya vidole vitatu ambay watu wa UKAWA wanamaanisha Muundo wa Serikali 3 katika mpishano unaoendelea nchini kuhusu Muundo wa Serikali, ama tatu kama ilivyopendekeza Rasimu ya Tume ya Uchaguzi ama Mbili kama chama tawala kinavyotaka.

IMG-20140505-WA0022Mambo ya keksi hayo

IMG-20140505-WA0021

IMG-20140505-WA0020

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO