Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

WANACHADEMA KIRANYI WAAMUA KUJENGA OFISI YAO KWA KUJITOLEA KIWANJA NA MALIGAFI

IMG-20140510-WA0026Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini Mh Amani Golugwa akishiriki ujenzi wa Ofisi ya CHADEMA Kata ya Kiranyi Jimbo la Arumeru Magharibi, ujenzi ambao liuzindua yeye pia.

Kata ya Kiranyi imekuwa Kata ya mfano Kanda ya Kaskazini baada ya Mama Monica Paul kuamua kujitolea kiwanja ili kujenga ofisi ya Kata. Mama huyu amefikia uamuzi huo baada ya kuona wanapoteza fedha nyingi kwa kupangisha ofisi.

  Pichani anaonekana Mama Monica ambaye ndiye ametoa eneo la kujenga ofisi ya Kata ya Kiranyi, na Katibu wa kanda Alikuwa akiongea na makamanda waliojitolea kuifanya kazi ya ujenzi wa ofisi

Katibu wa Kanda akishiriki ujenzi wa Ofisi wa kata kwa kubeba mawe ya kujengea msingi wa ofisi

PICHA NA MAELEZO: CHADEMA KASKAZINI

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO