Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Picha ya Siku: Enzi Mbunge wa Iringa Mjini Akiuza Mituba

MsigwaPicha hii imewekwa mtandaoni na Mbunge wa iringa Mjini Mh Mch. Peter Msigwa (CHADEMA) kupitia akaunti yake ya mtandao wa Facebook ambapo aliipa maelezo haya “Enzi hizo nauza mitumba (mantigo) Iringa MJINI kabla jengo la tanesco halijajengwa......enzi hizo tuliita kumechisha.”

Nasi tumeona si vibaya tukishare historia hii ambayo inaweza kuwapa ujasiri vijana na kutokata tamaa katika kutafuta mafaikio ya ndoto zao.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO