Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: DR SLAA, UKAWA WATIKISA ARUSHA; WANANCHI WASISITIZA USHIRIKIANO UENDELEE HADI 2015 ILI KUITOA CCM MADARAKANI

DSC_0245Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (chadema) Dr Wilbrod Slaa (haonekani vizuri pichani) akizungumza na wananchi wa Arusha katika viwanja vya Kilombero ikiwa ni mfululizo wa Mikutano ya Umoja wa Katiba ya Wananchi iliyoanza juzi katika maeneo tofauti ya nchi. Katika mkutano wa Arusha Dr Slaa aliambatana na viongozi wengine kutoka NCCR Mageuzi na Chama Cha Wananchi (CUF) iliyowakilishwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu Bw Mustafa Mwanri.

DSC_0265

DSC_0297

DSC_0157Mwakilishi wa NCCR-Mageuzi

DSC_0163

DSC_0184Mmoja wa wageni waalikwa akisaini kitabu cha mahudhurio

DSC_0193Ulinzi ulikuwa ni wa uhakika kutoka kwa vikosi vya vyama vyote vitatu. Pichani ni kijana wa Redbrigade ya Chadema Bw George katika suti maridadi.

DSC_0308

DSC_0195Viongozi mchanganyiko wa vyama vyote vitatu. Katikati anaonekana Dr Slaa akiwa kulia kwa Mbunge wa Moshi Mjini, Mh Philemon Ndesamburo ambaye amejitolea Helkopta yake pamoja na gharama za mafuta na rubani kuzunguka Kanda yote ya Kaskazini hadi Tarime Mkoani Mara.

DSC_0206

 

DSC_0200Mustafa Mwanri wa CUF akizungumza na wananchi

DSC_0235

DSC_0237Dr Slaa akikaribishwa Jukwaani

DSC_0250

DSC_0263

 

DSC_0226Mwakilishi kutoka Shura ya Maimamu akiwasilisha ujumbe wake.

DSC_0273

DSC_0323

DSC_0271Madiwani na na baadi ya viongozi

DSC_0166Mh Ndesamburo akifurahia jambo na mdau wa NCCR

DSC_0210Kutoka kushoto, Bw Elifuraha wa ArushaMambo Radio, Katibu wa Kanda ya Kaskazini Chadema, Mh Amani Golugwa na Dr Slaa

DSC_0242

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO