Sehemu ya waliohudhuria wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Jumuiya ukipigwa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 17 wa Dharula wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016
Ujumbe wa Burundi
Sehemu ya mabalozi wa nchi mbalimbali wakiwa mkutanoni hapo
Wageni kutoka nchi wanachama
Mabalozi wa nchi mbalimbali wakiwa mkutanoni hapo
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongoza mkutano. Anafuatiwa na Rais Paul Kagame wa Rwanda, Mwakilishi maalum wa Rais wa Sudan ya Kusini Mhe Aggrey Tisa Sabuni, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Liberat Mfumukeko
Waziri Mkuu Mstafu Jaji Joseph Sinde Warioba (kati) na Katibu Mkuu Mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Juma Mwapachu (kushoto) wakiwa na viongozi wastaafu wa Jumuiya
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongoza mkutano. Kushoto kwake ni Rais Paul Kagame wa Rwanda, Mwakilishi wa Rais wa Sudan ya Kusini Mhe Aggrey Tisa Sabuni, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein. Kulia kwake ni Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda, Naibu Rais wa Kenya Mhe William Rutto na mwakilishi wa Rais wa Burundi na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Balozi Alain Aime NyamitweMwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongoza mkutano akiwa na Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Liberat Mfumukeko
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano huo
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akiendelea na hotuba yake
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akipigiwa makofi na wahudhuriaji
Sehemu ya mabalozi wakisikiliza hotuba ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli
Wanahabari wakirekodi hotuba ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli
Dkt Mussa Lulandala wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam alikuwa nyota wa mkutano kwa kuweza kufasiri kwa ustadi wa hali ya juu hotuba zote kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili na Kiswahili kwenda Kiingereza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Balozi Liberat MfumukekoMwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongea jambo na Rais Paul Kagame
Naibu Katibu Mkuu wa Jumjuiya ya Afrika Mashariki (atayesimamia Utawala na Fedha) Mhe Christophe Bazivamo akila kiapo katika mkutano huo.
Naibu Katibu Mkuu wa Jumjuiya ya Afrika Mashariki (atayesimamia Utawala na Fedha) Mhe Christophe Bazivamo akitoa heshima meza kuu baada ya kula kiapo katika mkutano huo.
Rais Paul Kagame wa Rwanda akimpongeza Naibu Katibu Mkuu wa Jumjuiya ya Afrika Mashariki (atayesimamia Utawala na Fedha) Mhe Christophe Bazivamo baada ya kula kiapo katika mkutano huo.
Naibu Rais wa Kenya Mhe William Rutto akimpongeza Naibu Katibu Mkuu wa Jumjuiya ya Afrika Mashariki (atayesimamia Utawala na Fedha) Mhe Christophe Bazivamo baada ya kula kiapo katika mkutano huo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akimpongeza Naibu Katibu Mkuu wa Jumjuiya ya Afrika Mashariki (atayesimamia Utawala na Fedha) Mhe Christophe Bazivamo baada ya kula kiapo katika mkutano huo.
Viongozi na wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimshangilia Naibu Katibu Mkuu wa Jumjuiya ya Afrika Mashariki (atayesimamia Utawala na Fedha) Mhe Christophe Bazivamo baada ya kula kiapo katika mkutano huo.
Viongozi na wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimpongeza Naibu Katibu Mkuu wa Jumjuiya ya Afrika Mashariki (atayesimamia Utawala na Fedha) Mhe Christophe Bazivamo baada ya kula kiapo katika mkutano huo.
Manaibu Makatibu wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimpongeza Naibu Katibu Mkuu mpya wa Jumjuiya ya Afrika Mashariki (atayesimamia Utawala na Fedha) Mhe Christophe Bazivamo baada ya kula kiapo katika mkutano huo.
Sehemu ya waliohudhuria
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda akihutubia
Rais Paul Kagame wa Rwanda akiongea machache
Naibu Rais wa Kenya Mhe William Rutto akizungumza machache
Naibu Rais wa Kenya Mhe William Rutto akisisitiza jambo
mwakilishi wa Rais wa Burundi na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Balozi Alain Aime Nyamitwe akiongea machacheMwakilishi wa Rais wa Sudan ya Kusini Mhe Aggrey Tisa Sabuni akishukuru kwa nchi yake kukubaliwa kuwa mwanachama kamili wa Jumuiya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akiongea machache ikiwa ni pamoja na kukumbushia umuhimu wa Sudan ya Kusini kuwa mwanachama wa Jumuiya kwani awali nchi hiyo ilikuwa kiungo muhimu kwa nchi wanachama
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akiendelea kuhutubia
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Liberat Mfumukeko akisoma maazimio ya mkutano
Meza kuu wakisaini na kuridhia maazimio ya mkutano
Wimbo wa Jumuiya ukipigwa kuashiria mwisho wa mkutano
Wageni mashuhuri wakisimama kwa wimbo wa Jumuiya
Viongozi wakisalimiana na waalikwa
Viongozi katika picha ya pamoja na mawaziri kutoka nchi wanachama
Viongozi katika picha ya pamoja na mawaziri kutoka nchi wanachama
Viongozi katika picha ya pamoja na wabunge wa Jumuiya hiyo
Picha ya pamoja na Sekretarieti ya Jumuiya
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Bw. Gerson Msigwa akisimamia shughuli ya picha za pamoja
Viongozi na wageni mashuhuri
Viongozi na wageni mashuhuri
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsindikiza Rais Paul Kagame wa RwandaMwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akiteta jambo na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Rutto
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akiteta jambo na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Rutto
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa wageni baada ya kumalizika kwa mkutano huo. PICHA NA IKULU
0 maoni:
Post a Comment