Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

AJALI MBAYA YA BASI LA HAPPY NATION NA GARI NDOGO ENEO LA HEDARU,WATU WAWILI WADAIWA KUPOTEZA MAISHA

 

Wananchi wakitazama mabaki ya gari ndogo yenye namba T653 BZR ambayo iliingia uvunguni wa basi la kampuni ya Happy Nation maeneo ya Hedaru Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro jioni ya leo. Kwa mujibu wa taarifa ya Polisi, watu wawili (ambao majina yao na jinsia zao havijafahamika) wanaodaiwa kuwemo kwenye gari ndogo walifariki  papo hapo. Aidha Jeshi la Polisi bado linaendelea kufanya uchunguzi kujua chanzo cha ajali hiyo.
 

PICHA ZOTE NA MITANDAO

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO