Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

WENGI WETU HUJENGA NYUMBA HOLELA

ujenzi

Moja ya muonekano wa makazi holela. Picha na Gazeti Mwananchi
***

Nimekuwa nikifuatilia ujenzi wa makazi yetu maeneo mbalimbali. Na kwa tathimin ya haraka haraka nilichogundua Ni kwamba, wengi wetu tunajenga bila kutumia kampuni wala wataalamu kama architects, engineers, Qs. Huwa tunakabiliana moja kwa moja na mafundi. Ugumu tunaokumbana nao ni huu...
1: kupata gharama za ufundi,
2: makadirio ya vifaa , Kama cement mchanga mbao nk.
3: Ubora wa kazi kutokuendana na gharama walizotoa bila Hata ya wao kujua.
4: kupewa ushauri mbovu na kufanya mabadiriko kwenye mchoro wa awali wengi wa mafundi wanatoa ushauri ili kutengeneza mazingira ya kupiga.

Humu ndani kuna wataalamu ambao kwa kiasi tunaweza saidia na tatizo ilo wajenzi wakaliepuka AMA kupunguza madhara yake. I have an idea,
Kwa kuwa mnaogopa kujenga na kampuni kwa kigeZo cha gharama. Basi jaribu kuwa na boq ambayo itatengenezwa kwa kufuata mtiriko wa ujenzi, ukiwa na idadi ya material, na labour charge pembeni. Hii itakusaidia wakati unapatana na Fundi kujua the ceiling price of charge for a particular trade. Hii itakusaidia sana kuokoa gharama. Kwanza itaingiza Hali ya uaminifu kwa Fundi kwamba tayari huyu mtu ana uelewa na mambo Haya. Ivyo atakuwa reasonable in pricing. Samahani baadhi ya maneno nakosa Kiswahili chake. Gharama za kutengeneza izi bill Ni nafuu kuliko kutapeliwa na mafundi na Ubora aw kazi kuwa duni

Ushauri wa QS Thobias Ntobi

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO