Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mashindano ya kwanza ya Insha yaandaliwa na kampuni ya BIMO Media kuhusu Ujangili kumuenzi muasisi Hayati Mwalimu Julius Nyerere

Awali maadhimisho ya kumuenzi muasisi wa maswala ya uhifadhi yalianza kwa maandamanio ya wanafunzi hao kutoka makumbusho ya VIAVIA hadi makumbusho ya Azimio la Arusha yaliyoandaliwa na kampuni ya BIMO Media company kwa kuwashindanosha wanafunzi kuandik INSHA ya maswala ya uhifadhi na ujangili

Displaying IMG-20141016-WA0009.jpg

wanafunzi waliohudhuriaa

mkurugenzi wa kampuni ya BIMO Media, Bertha Ismail akisoma risala mbele ya mgeni rasmi, kulia ni mkugenzi wa makumbusho ya Azimio la Arusha costantine Nyamabondo na wa kwanza kushoto ni meneja wa palace hotel Moses  na wa pili kulia ni mkuu wa wilaya ya Arumneru Nyirembe Munasa Sabi.

mkuu wa wilaya akitoa hotuba yake kumuenzi hayati mwl Nyerere, wageni wengine wakisikiliza ambapo kushoto kwake ni waziri wa maliasili na utalii Lazaro Nyalandu na wa kwanza kulia nimkurugenzi wa TANAPA Allan Kijazi

waziri Nyalandu alipokuwa akikabidhi vyeti kwa washindi

mkurugenzi wa kampuni ya kampuni BIMO Media  Bertha Ismail akimsindikiza waziri Nyalandu baada ya kukabidhi vyeti vya washindi, wadhamini na shule shiriki kwenye shindano la uandishi wa unsha kuhusu maswala ya hifadhi na utalii lengo ikiwa ni kumuenzi muasisi wa maswla ya hifadhi nchini Nyerere
shindano hilo lililodhaminiwa na TANAPA, Ngorongoro, Cocacola, Palace Hotel, AICC, Halmashauri ya Jiji la Arusha pamoja na Bound Tour ya Jijini hapa mshindi wa kwanza alikuwa:-Essay Writing (English)

1. Bassam Abdul – Class 4 B Arusha Meru International

2. Sameerah Jawahirshah – Class 6. Arusha Modern

3. Irene Kishari – Arusha Modern

Painting

1. Kush K. Patel – Arusha Meru International

2. Mahek Fareed Khan – Arusha Meru International

3. Rahel Loishiye – Naura Primary School

Isha (Kiswahili)

1. Juma Shwaibu Juma – Naura Primary

2. Janeth Elisante – Meru Primary

3. Mary Obuyah – Meru Primary

ambapo mshindi wa kwanza kwa kila kundi alipewa fedha taslim shilingi laki moja, wa pili 50,000 na watatu 30,000 ambapo wote kwa pamoja walipewa cheti pamoja na medali kwa kila mwanafunzi.

mwisho.................

Credit: Bertha Mollel

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO