Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

PROSPER MSOFE WA CHADEMA ACHAGULIWA TENA KUWA NAIBU MEYA ARUSHA

Naibu Meya wa Arusha Prosper Msofe ambaye ni Diwani wa kata ya Daraja mbili kwa tiketi ya CHADEMA akizungumza baada ya kuibuka mshindi  katika uchaguzi uliofanyika leo katika ukumbi wa Halmashauri ya Arusha,Meya wa jiji la Arusha Gaudience Lyimo (katikati) ,kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa jiji  Juma Iddi .

Mbunge wa Mbozi Mashariki,David Silinde(shoto) ,Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha Amani Golugwa na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless wakiwa nje ya ukumbi mara baada ya kumalizika kwa shughuli ya uchaguzi wa Naibu Meya uliofanyika leo,Diwani wa Kata ya Daraja mbili ,Prosper Msofe aliibuka mshindi


 

Naibu Meya wa jiji la Arusha ,Prosper Msofe ambaye ni Diwani wa kata ya Daraja mbili akizungumza baada ya kuibuka mshindi  katika uchaguzi wa Naibu Meya uliofanyika jana katika ukumbi wa Halmashauri ya Arusha .Picha na Ferdinand Shayo

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO