Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Halmashauri ya Jiji la Arusha Kujenga Hospitali ya Wialya eneo la Njiro; Meya Kalisti Athibitisha





Mstahiki Meya wa Halmashuri ya Jiji la Arusha akisaini makabrasha ya mkutaba wa ujenzi wa Hospitali ya Wialya itakayojengwa eneo la Njiro Kontena. 

Meya Kalisti ameitaarifu blogu hii kwamba Halmashauri yake imeendelea kuweka historia katika kutekeleza majukumu yake na kwamba leo wamesaini mkataba wa ujenzi wa hospitali hiyo ya Wilaya itakayojengwa Njiro ambapo kukamilika kwake kutasogeza huduma za afya kwa wananchi pamoja na kupunguza msongamano wa wagonjwa katika vituo vilivyopo vya Kaloleni na Levolosi na pia kupunguza mzigo kwa hospital ya Mkoa ya Mount Meru.


Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO