CHAMWINO
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeunda Tume itakayofuatilia mali zake zote zilizopo nchini kote.
Tume hiyo imeundwa katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM kilichofanyika jana Ikulu ya Chamwino nje kidogo ya mjini Dodoma.
Timu ya Tume hiyo iliyoteuliwa katika kikao hicho kilichofanyika chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli Mwenyekiti wake ni
Dk. Bashiru Ali Kakurwa na Wajumbe ni,
1. Walter Msigwa
2. Albert Msando
3. Galala Wabanhu Hananasifu
4. Albert Chalamila
5. William Sarakikya
6. Komanya Kitwara
7. Dk. Fenela Mkangara
8. Mariam Mungula
Moja ya majukumu iliyopewa tume hiyo ni kuzunguka nchi nzima kuziona zilipo mali zote za Chama na kuzifanyia uratibu na tathmini

0 maoni:
Post a Comment