Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally ametembelea Jiji la Arusha na kuzindua miradi mbalimbali

Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally ametembelea Jiji la Arusha na kuzindua miradi mbalimbali ikiwemo Chuo cha Kiislam cha ABC kilichopo Njiro, Zahanati iliyojengwa katika ya Sokon 1 na baadaye kuzungumza na waumini wa kiislamu kabla ya kuendelea na ziara yake Wilaya ya Longido.

Moja ya jambo la kheri alilowaasa watanzania akizungumza kutokea Arusha ni uvumilivu wa waumini wa madhehebu yote pamoja na tofauti zetu za kiimani.

Pichani Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mh Kalisti Lazaro akiwa miongoni mwa viongozi waliompkea Mufti Zubeir Jijini Arusha. 









Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO