Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

DIWANI WA UNGA LT JAMES LYATUU ASIMAMIA ZOEZI LA UPULIZIAJI DAWA KUUA MAZALI YA KIPINDUPINDU KATANI KWAKE
Leo Diwani wa Kata ya Unga Ltd, Mh James Mathew Lyatuu pamoja na wataalamu wa Kata ya Unga Ltd wote kwa pamoja waliamua kuzuru Mtaa wa Makaburi ya Baniani na kufanikiwa kupiga dawa ya kuua masalia na mazalia ya ugonjwa hatari wa kipindupindu  kwa kutumia wataalamu wa Kata na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Esso pamoja na Afisa Mtendaji wa Kata ya Levolosi.


Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO