Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: MWEYEKITI BAVICHA TAIFA PATROBAS KATAMBI ALIPOMTEMBELEA MEYA WA JIJI LA ARUSHA KALISTI LAZARO OFISINI KWAKE LEOMh Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Taifa Patrobas Katambi akisalimiana na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro Ofisini kwa Mstahiki Meya Jijini Arusha leo. Picha na Innocent KasanyageWashirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO