Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: MBUNGE JAFAR WA MOSHI MJINI KATIKA ZIARA YA KUKAGUA MASOKO JIMBONI KWAKEMbunge wa jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akisalimiana na wafanyabiashara wa soko la Pasua alipofanya ziara ya kutembelea masoko yaliyopo katika mji wa Moshi kusikiliza kero za wafanyabiashara hao.
 
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akiongozana na Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Raymond Mboya wakitembelea soko la Mbuyuni kusikiliza kero mbalimbali pamoja na kuona namna bra ya kuboresha masoko hayo.

Mbunge wa jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akimsikiliza kiongozi wa soko la Mbuyuni aliyefahamika kwa jina la Lameck ,wakati Mbunge huyo alipofanya ziara ya kutembelea masoko ya mjini Moshi akiongozana na Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi,Raymond Mboya.
 
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akiongozana na Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Raymond Mboya wakitembelea soko la Mbuyuni kusikiliza kero mbalimbali pamoja na kuona namna bra ya kuboresha masoko hayo.


Mbunge wa jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akiongozana na Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Raymond Mboya wakitembelea soko la Majengo  kusikiliza kero mbalimbali pamoja na kuona namna bra ya kuboresha masoko hayo.

PICHA NA MAELEZO: DICKSON BUSAGAGA, MOSHI -KILIMAJARO
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO