Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

WAFUGAJI WAVAMIA ENEO LA MWEKEZAJI MZUNGU WILAYANI SIHA NA KUCHOMA NYUMBA, MAGARI N.K

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama pamoja na kamati ya ulinzi na usalama wakitizama uharibifu  uliofanywa na wafugaji jamii ya Masai.

Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Siha ,Rashid Kitambulilo akimuongoza mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama wakati akitembelea eneo la mwekezaji la Tanganyika Film and Safari ambako wafugaji jamii ya Masai wanadaiwa kufanya uharibifu mkubwa.


Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akitizama moja ya gari lililochomwa moto na watu wanaodaiwa kuwa ni wafugaji jamii ya Masai.

Askari Polisi walilazmika kuongeza ulinzi katika eneo hilo.

Mkuu wa mkoa ,Gama akiteta jambo na baadhi ya viongozi ambao ni wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama.

Vikao vikiendelea eneo la mwekezaji.Uharibifu mkubwa umefanyika ambapo nyumba 16 na magari tisa yameteketea moto.

Mwekezaji Peter Jones akizungumza na wanahabari kuhusu tukio hilo lililomsababishia hasara kubwa.

Vikosi vya askari Polisi kutoka Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro vililazimika kupiga kambi kwa muda katika eneo hilo ili kuwadhibiti wafugaji hao.

PICHA ZOTE Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya kaskazini

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO