Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

WEUSI WAACHA HISTORIA ARUSHA KWENYE SHOW YAO YA FUNGA MWAKA

10731804_882708715095349_149032450_n

 • 10748463_586087551513725_1423829173_n
 • Wakiandaa wao wenyewe, Weusi walifanikisha kuvutia nyomi la kutosha kwenye uwanja wa Triple A jijini Arusha. “Mungu ametuonesha kwamba tunaweza kufanya makubwa zaidi ya vile tunavyofikiria,” Joh Makini ameiambia Bongo5.

  923841_308069529388676_964088410_n

  Nyomiii

  Joh amesema maandalizi makubwa wamefanya wao wenyewe japo wasambazaji wa kilevi cha K Vant waliingia kama wadhamini katika hatua za mwisho mwisho. Tamasha hilo Jumamosi hii linahamia mjini Moshi, La Liga, Nov. 15 watatumbuiza Mbeya, City Pub, Nov 22 ni Mwanza, Jembe ni Jembe halafu wanatarajia kumalizia Dar Nov 29.

  Hizi ni baadhi ya picha za Arusha.

  10735266_683597668415197_1902996968_n

  10707223_706515382749952_535319818_n

   

  PICHA: VIJANA NA MATUKIO

  Washirikishe Google Plus

  About SeriaJr TW

  SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
   Blogger Comment
   Facebook Comment

  0 maoni:

  TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO