Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mapokezi ya Mbunge Nassari KIA yalivyofana

Mapokezi ya Mbunge Nassari KIA yalivyofana

Mbunge wa Arumeru Mashariki amewasili akitokea Marekani na kulakiwa na viongozi mbalimbali wa Chadema na wananchi katika Uwanja wa ndege wa ...
Soma Zaidi
Mbunge Lema, Madiwani Chadema Washiriki Maziko ya Katibu Mwenezi wa Chadema Kimandolu

Mbunge Lema, Madiwani Chadema Washiriki Maziko ya Katibu Mwenezi wa Chadema Kimandolu

Mbunge wa Arusha Mjini ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Taifa, Mh Godbless Lema akiwa kanisani pamoja na madiwani wa Chadema Ar...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO