Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Gari yatumbukia mto Naura na kuua

IMG-20140814-WA0007

ajali2

ajali naura

Kijana mmoja aliyetambulishwa kwa jina moja la Jackson mkazi wa Moshono Jijini Arusha ameelezwa kufariki katika jali ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia leo baada ya gari aina ya Toyota Altezza kutumbukia mto Naura eneo la Metropole na kuharibika vibaya.

Blog hii haijaweza kupata chanzo cha ajali hiyo na Polisi wanaendelea na uchunguzi

Kijana anayedaiwa kupoteza maisha katika ajali hiyo enzi za uhai wake. Haijaweza kufahamika kama alikuwa na watu wengine ama la. Blog hii inaendelea kufuatilia kwa karibu na kukujuza hapa hapa

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO