Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MAHAKAMA KUU KANDA YA MBEYA IMEAMURU KUCHOMWA MOTO DAWA ZA KULEVYA ZENYE THAMANI YA BILION 1.8 ZILIZOKAMATWA MPAKANI TUNDUMA MWAKA 2010

Dawa hizo a kulevya zateketezwa chini ya ulinzi mkali wa Polisi

Madawa hayo yakitumbukizwa katika tanuru la moto mkali

Raia wawili wa Afrika kusini, Vuyo Jack, na mkewe Anastazia Cloete. wanaotuhumiwa kwa kukutwa na madawa hayo Kesi yao bado inaendelea

Chanzo:  Mbeya Yetu

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO