Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mbunge Lema, Madiwani Chadema Washiriki Maziko ya Katibu Mwenezi wa Chadema Kimandolu

mazikoMbunge wa Arusha Mjini ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Taifa, Mh Godbless Lema akiwa kanisani pamoja na madiwani wa Chadema Arusha Mjini katika misa ya kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Kimandolu Bw Robert Bifoo ambpo maziko yake yanafanyika hii leo mchana eno la Ngaramtoni Jijini Arusha.

Marehemu Bifoo anaelezwa kuwa mtu muhimu sana enzi za uhai wake kwa harakati za kisiasa na kuimarika kwa Chadema Jijini Arusha hususani Kata ya Kimandolu.

Sisi Tulimpenda ila Mungu Amempedna zaidi, Roho ya Marehemu ilale mahala pema. Amina!

Picha zote na Bahati Mollel

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO