Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

NABAKI AFRIKA MABINGWA VIFAA VYA UJENZI KATIKA MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA KASKAZINI

NABAKI

20140806_050949Meneja wa kampuni ya Nabaki Afrika tawi la Arusha Jesse S. Madauda akiongea na wateja waliotembelea katika  banda lao viwanja vya nane nane jijini Arusha

20140806_051800Hii ni moja ya vifaa vinavyopatikana katika banda lao maarufu kwa jina la Gutter System,kazi yake kubwa ni kuvuna maji ya mvua ,uv resistance,hazikakamai wala kuvunjika na guarantee yake miaka 10

20140806_051639

Hii ni Plumbing System ni kwaajili ya mfumo wa maji taka na safi na sifa yake kuu nikwamba huwezi kuona chemba zile za nje na haizibi

20140806_050615Vigae vya kuezeka (Decra Roofing Tiles )sifa yake kuu ni havipauki ,havipati kutu na havipukutiki na guarantee yake miaka 50
20140806_051321Floor Tiles za  mbao, ambazo zinatafutwa sana sokoni

20140806_051551Muonekano banda la Nabaki Afrika katika viwanja vya nane nane jijini Arusha,katika banda hilo utaweza kujipatia vifaa bora vya ujenzi wa nyumba yako pamoja na ushauri

20140806_051448Pump za maji za visima na matumizi ya nyumbani

20140806_051224Water Filter, kazi yake kubwa ni kuchuja maji,kutoa chumvi kwenye maji na kufanya yawe salama kwa kunywa

20140806_051429

Heater za maji kwaajili ya kupasha maji moto ikijulikana kwa jina la Ariston, Pia wanahita za umeme na za solar yaani  mionzi ya jua

20140806_053955Vigae vya kuezeka ( Fortiza Roofing Tiles )sifa yake kuu ni havipauki ,havipati kutu na havipukutiki na guarantee yake miaka 25

20140806_050843

Conmix Decorative plaster SP3 ni plasta bora zilizo na rangi hazihitaji kupaka rangi(zikiwekwa dawa hazipitishi maji)

Kampuni ya Nabaki Afrika ni kampuni pekee isiyo na mshindani katika ubora wa vifaa mbalimbali vya ujenzi.

Kampuni hiyo inahusika katika maeneo makuu matatu,yaani uezekaji,ujenzi (Construction) na maji.

Kwa mawasiliano  wasiliana nao kupitia info@nabaki.com au tembelea tovuti yao http://www.nabaki.com au piga simu namba 0766 827417 au 0786 966114

Nabaki Afrika imejaribiwa,Imepimwa na Imeaminiwa zaidi ya miaka 20 Tanzania.

 

CREDIT: PAMELLA MOLLEL

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO