Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA YAJIPANGA KUWALETEA WANANCHI MAENDELEO

1

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Arusha,Samuel Saning’o akizungumza kwenye kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa halmashauri hiyo,kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji ,Fidelis Lumato na Makamu Mwenyekiti,Anna Msuya.

Diwani wa Kata ya Olturmet Halmashauri ya wilaya ya Arusha,Noah Saputu akichangia hoja kwenye kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika  katika ukumbi wa  halmashauri hiyo eneo la Sekei.

Diwani wa Kata ya Kimnyaki,halmashauri ya wilaya ya Arusha,Wilfred Ngungat akichangia hoja kwenye kikao cha baraza la madiwani.

Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Arusha wakiwa kwenye kikao cha baraza la madiwani.

Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Arusha wakifatilia hoja  kwenye kikao cha baraza la madiwani kupanga mikakati ya maendeleo.

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi,mkoa wa Arusha,Goodluck Ole Medeye akichangia hoja kwenye kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika kwenye ukumbi wa halmashauri hiyo,eneo la Sekei,kushoto ni Makamu Mwenyekiti,Anna Msuya

PICHA ZOTE:Filbert Rweyemamu

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO