Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

HABARI PICHA-UZINDUZI WA KAMPENI YA SHAMIRI YA KUSOMESHA WATOTO 112

SAM_3788

Meneja Mahusiano shirika  la The Foundation For Tommorow , Anton Asukile akifafanua jambo juu ya Kampeni ya SHAMIRI inayolenga
kuchangisha milioni 50 kwa ajili ya kusaidia watoto wanaoishi kwenye mazingira hatarishi ,kulia ni Meneja Programu wa masuala ya kijamii na
afya Hedwiga na kushoto ni  Hilda Lema (Mfanyakazi).

Picha na Ferdinand

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO