Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: WAGOMBEA VITI MAALUMU CHADEMA ARUSHA MJINI KIKAANGONI MUDA HUU

SAM_3427

SAM_3426

Wagombea wa Viti Maalumu Jimbo la Arusha Mjini (CHADEMA) wakiwa katika Mkutano Maalumu wa BAWACHA Arusha Mjini katika Ukumbi wa Twiga Hoteli ya New Safari wakisubiri mchakato wa uteuzi wa awali wa majina matatu yatakayoenda Kamati Kuu kwa uamuzi wa mwisho. Kutoka kushoto ni Theresa Edwards Minja, Glory Benrd Kaaya, Flora Emmanuel Mazugu, Grace Charles Macha, Priscosa Michael Massawe ,  Joyce John MukyaPamella William Chuwa na mwisho ni Viola Lazaro Likindikoki.

 

SAM_3370

Wajumbe wakiwasili

SAM_3374

SAM_3375

Mbwembwe za wagombea

SAM_3407

Mbunge aliyekuwa akiwakilisha Arusha Mjini Mh Joyce Mukya akiingia ukumbini

SAM_3408

Mgombea Grace Macha akiwa na tabasamu pana

SAM_3413

Mwenyekiti wa BAWACHA Arusha Mjini ambaye pia ni mgombea Ubunge Vitimaalumu, Viola Likindikoki akifungua mkutano

SAM_3418

Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi, Mbunge wa Rombo anayemaliza muda wake, mh Joseph Selasini akifanya sala kufungua mkutano. Mh Selasini ameshinda kura za maoi katika Jimbo lake kuiwakilisha CHADEMA katika uchaguzi mkuu wa baadae Oktoba mwaka huu

 

SAM_3428

Mbunge wa Arusha Mjini anayemaliza muda wake Mh Godbless lema akisalimiana na Msimamizi wa Uchaguzi

SAM_3432

SAM_3439

Msimaizi wa uchaguzi Mh Selasini akihutubia wajumbe wa mkutano huo maalumu wa BAWACHA

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO