Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Wanachama 30 wa CCM Vyuo Vikuu Wajiunga Chadema Baada ya Kukerwa na Uteuzi wa Mgombea Urais

Jumla ya Vijana 30 kutola umoja wa vijana wa vyuo vikuu CCM wamerudisha kadi zao za CCM kwenye Ofisi ya Chadema Mwanayamala Dar es Salaam kwa kile walichodai mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM haukutenda haki.

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO