Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

PICHA: SUMMIT YA UKAWA AT WORK

_MG_7259Viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wakisikiliza hoja za wabunge wa vyama hivyo walioalikwa katika kikao cha Viongozi Wakuu (Summit) kinachokutana leo kupanga mikakati ya umoja huo kuelekea kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kuongoza serikali. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa NLD, Tozi Matwange, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Willibroad Slaa, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa NLD, Dkt. Emmanuel Makaidi na Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi, Mosena Nyambabe.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO