Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Ajali mbaya Kwa Sadala, Watu Kadhaa Wapoteza Maisha

Ajali mbaya imetokea majira ya asubuhi hii leo katika daraja la kwa Sadala njia ya Moshi -Arusha ambapo inaelezwa kuwa watu kadhaa wamekufa papohapo na majeruhi hali zao sio nzuri

Ajali imehusisha Fuso la Mizingo na Hiace ya abiria.

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO