Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA KUTOKA ARUSHA: MH LEMA AKIZINDUA MAFUNZO MAALUMU KWA VIJANA NCHINI KUHUSU MASUALA YA AFYA YA UZAZI NA UKIMWI

11225207_415014185354550_60949132361037973_n

Mbunge wa Arusha Mjini Mhe Godbless Lema akifungua mafunzo kwa mashirika mbalimbali kutoka mikoa yote Tanzania yanayofanya na kutekeleza miradi kwa vijana ya afya ya uzazi na masuala ya UKIMWI - Arusha

11223796_415014158687886_3094834514894423365_n

 

11232220_415014212021214_3543014609529101717_n

Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Mhe Amani Golugwa na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe Godbless Lema

11223302_415019085354060_2280387289745383733_n

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO