Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Lowassa uso kwa uso na Rais Kikwete na Mkuu wa Majeshi

Mbunge wa Monduli ambaye pia anazungumzwa sana kuwa miongoni mwa wanaowania urais wa Tanzania mwaka 2015, Mh Edward Lowassa amepata wasaa wa kukutana na Rais Jakaya Kikwete kwa muda tofauti na kufanya mzungumzo na pia kusalimiana na Mkuu wa Majeshi Davis Mwamunyange katika hafla ya kuwatunuku nishani askari 171 baadhi wakitoka nje ya nchi katika Chuo cha Kijeshi Monduli.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO