Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

WAFANYABIASHARA SOKO LA VINYAGO MASAI MARKET LILILOTEKETEA KWA MOTO HIVI KARIBUNI WAKIPEWA KIFUTA MACHOZI NA BENKI YA FINCA

IMG_0172Wafanyabiashara wa soko la vinyago la Mount Mure Curio Craft maarufu kama Masai Market wakishangilia baada ya kupatiwa kifuta machozi cha shilingi milioni 17 na benki ya Finca ambayo pia iliwafutia mikopo kutokana na kuteketea kwa moto kwa soko hivi karibuni .Kulia Meneja wa kanda wa benki hiyo Moses Haule.Wapili kulia mstari wa nyuma ni Baraka Jekonia Meneja wa benki hiyo tawi la Arusha Meru.Picha na Ferdinand Shayo

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO