Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

YANGA YAIGUNGA AL AHLY BAO MOJA KWA BILA UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM

YANGA

Timu ya Yanga ya Jijini Dar es Salaam wameibuka na ushindi wa 1.0 dhidi ya timu ngumu kutoka Misri, Al Ahly katika mpambano wa mashindano ya Kalbu Bingwa Afrika uliomalizika muda mfupi uliopita katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Goli la Yanga lilifungwa na beki Nadir Haroub ‘Canavaro’ dakika ya 82 ya mchezo.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO