Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Picha Kutoka IKULU:Ziara ya Rais Jakaya Kikwete Mkoa wa Tanga, Azindua Mradi wa Maji Mkata


D92A6155

  Chipukizi wa Mkoa wa Tanga wakimkaribisha kwa maua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika tarafa ya Mkata, wilayani Handeni mkoa wa Tanga, Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi.

  Rais Jakaya Kikwete, akifurahia burudani ya ngoma sa asili.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa Bwawa la Maji la Mkata wilayani Handeni jana

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Bwawa la maji la Mkata muda mfupi baada ya kulizinduahuko Mkata wilayni Handeni Mkoa wa Tanga Jana asubuhi.Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi kuagua na kuzindua miradi ya maendeleo. Picha na Fredy Maro-IKULU

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO